February 17, 2008

Bush amwaga mapesa Bongo

Bush aliongozana na mkewe pamoja na Condoleza Rice, yako mambo mengi sana ya kujifunza kutokana na ujio huu kwa kitengo cha mawasiliano cha ikulu, wanausalama pamoja na waandishi na hasa watumia kamera. jinsi ya kufanya kazi au kutuwezesha wapigapicha kupata picha nzuri pasipo na bughuza yoyote nadhani hili ni somo kubwa sana kwa ndugu zetu wa usalama ambao wanadhani kuwa kazi ya ni kuzibiti wapigapicha tu, na si kuweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa picha bora na si bora picha. Kuna watu wanaitwa Visual Advisors hawa ni watu muhimu sana kuwa nao kama ikulu hakuna mtu kama huyu basi ni vyema kufanyike utaratibu wa kupata mtu huyu. yeye ni kiungo muhimu sana si tu ktk kuhakikisha kuwa panakuwa na mazigira au mandhali nzuri na mwaga tosha eneo la tukio bali pia ni kiungo kati ya kameraman na usalama ktk kuhakikisha kila mtu anafanya kazi yake vizuri.

1 comment:

Anonymous said...

mkuu kazi nzurii, nimekua nikisoman kilio chakoo juu ya jamaa zetu kutoa tambua kazi zao za msingi za kuwaandalia maeneo mwanana ili muweze kupioga piocha za uhakika kama hizii.., hebu fikisha kilio hicho kwa wakubwaaa waelezeee huo utaratibu wa leo chini ya wamarekani ndo utaratibu mzuri na wa hali ya juu duniani kote..
Pole kwa kazii..
Haki

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...