October 16, 2007

Tatizo la unyanyapaa au stigma katika jamii yetu linarudisha nyuma mapambano dhidi ya UKIMWI na juhudi nzima ya serikali kupunguza maambikizi, lakini pia linasababisha watu kuogopa kujitokeza kupima virusi hasa vijana na zaidi wanaume, Wanaume tuaamini kuwa tuko salama sana fikiria mume wa mama huyu ana wake sita na bado anaamini kuwa yu salama sana na kuwa mama huyu ndo mgonjwa pekee, Kesi za aina ya Bi Namnahuka ni nyingi sana Newala na hapana shaka sehemu nyingine za nchi yetu. Vita ya Ukimwi haina budi kwenda sambamba na vita dhidi ya unyanyapaa bila hivyo hatupiga hatua zozote makini katika vita kubwa hii.

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...