"Hali yangu imeimalika sana toka nianze kutumia ARV, tatizo ni chakula tu kwani sina uwezo wa kufanyakazi na hakuan anayekubalki kuniajri sababu ya hali yangu" , mi na Mama yangu na wanangu tunamtegemea mwanangu mkubwa Ajuaye (14) ambaye ndo amemaliza darasa la saba na anafanya vibarua sokoni kile apatacho ndo tunakula, mara nyingi ni mlo mmoja wa jioni au hali ikiwa mbaya tunakunywa uji tunalala"
No comments:
Post a Comment