
"ARV zimenipa nguvu na kunirejeshea afya kwa kiasi kikubwa sana, nilikuwa nachngulia kaburi lakini sasa nina nguvu na naweza kufanya kazi yoyote, waathirika tunanyanyapaliwa sana ni kazi aina hii ndizo watu wanaweza kutupatia, mi naweza kupika mama ntilie lakini hakuna hatakaye nunua chakula pindi wajuapo kuwa unaishi na virusi"
No comments:
Post a Comment