October 21, 2007

Raiti macho yangekuwa farasi au ndoto kuwa hakika...........
Hapana shaka yoyote kuwa ndivyo zilikuwa ndoto za aloandika score board hii japokuwa ukweli haukuwa ivyo kwani timu hizi zilitoka sare ya bila magori.
Na pengine ndivyo hata hawa viongozi wa simba Dalali na Mwenzie Simba wa Yuda au Kaduguda wangependa iwe lakini waaaapi la kuvunda halina ..................
Wadau wa soka ni nini kinaendelea ktk timu hizi kongwe msimu huu maana siku hizi wakitia timu ni kufungwa kosakosa droo.. WHYYYYYYYYYY KWANINIIIIIIIIIIII?
Na Jumatano ndo kipute cha watani wajadi hawa ambao kwa kweli msimu huu wameboronga kuliko mfano yaaani sipati picha itakuwaje siku hiyo..yetu macho tusubiri tuone

No comments:

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...