Mama huyu wa watoto watatu alitarakiwa na mumewe aliyekuwa akichangia wake wenzie sita mara baada ya kupimwa na kukutwa ameathirika mwaka 2005, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu sana na kumaliza akiba yake yote na kuuza kila alichonacho kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji akidhani kuwa karogwa, Salum pacha yake (Kulia) ndiye aliyekuwa akimuuguza ktk kipindi chote cha zaidi ya miaka miwili.
No comments:
Post a Comment