September 7, 2007

Hii ni Homa ya Mechi ya Leo kati ya Mozambique na Taifa Stars,
Wapenzi wa mpira wengine toka mikoani wamekuja kwa ajili ya mechi hii muhimu, hakika sasa wabongo wanaipenda timu yao.
Tatizo liko ktk tickets watu wamefika toka saa kumi na moja Alfajili kwenye baadhi ya vituo vilivyopangwa kuuza tiketi lakini saa mbili vilipofunguliwa ikawa ni zile za 10,000 hadi 50,000 zilizokuwa zikiuzwa na kuwa za 3000 zitauzwa saa nane,
wapenzi ambao wengi ni kipato kidogo pamoja ni kuwai kote uko bado hawakuwa wamepata tiket hadi kufika saa saba.
Mungu Bariki Taifa Stars, Mungu Bariki Tanzania.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...