Mhariri mkuu wa picha wa dpa Frank Baumghart akitoa maelezo za namna idara yake yenye wapiga picha wapatao mia moja inavyofanya kazi kwa wanafunzi wa kozi ya upigaji picha za habari toka chuo cha International Institute of Journalism Berlin au IIJB, kwa siku moja upokea picha zaidi za elfu na hutumia picha mia nne hadi tano kwa aijri wa wateja wake ambao ni makampuni za uchapishaji magazeti yapatayo mia na hamsini.
No comments:
Post a Comment