February 15, 2013

Kagera - Why are you not RICH????????

Uwanja wa ndege wa Bukoba unafanyiwa matengenezo na kuongezewa uwezo. 

Moja ya mabonde katika Mkoa wa Kagera, ni kijana mwaka mzima.

Mahindi haya yanalimwa pasipo kuweka mbolea kienyeji lakini bado waweza kupata makubwa hivi na zaidi. 

Mkoa unapata mvua mara tatu kwa mwaka. 

Ziwa Victoria linafaa kwa Uvuvi na utalii pia. 

Kagera – Ni kwanini wewe si Tajiri????Ndio, ni kwanini Mkoa huu au watu wake si matajiri? Huu ni moja ya mikoa iliyobarikiwa sana na Mungu katika Tanzania, lakini bado haujaweza kuutumia vyemam utajiri wake.

Ni moja ya mikoa ambayo inapata mvua angalau mara tatu kwa mwaka, una mabonde na mito mingi ambayo inafaa kwa kilimo cha aina yoyote, waweza kulima pasipo kuweka mbolea na kupata mavuno ya kutosha, mazao mengi sana ya chakula na biashara yanastawi kwa wingi sana.

Kama haitoshi, sehemu kubwa ya ziwa Victoria inapatikana Kagera, Mbuga za wanyama, vivutio mbalimbali vya watalii, misitu ya asili, Bandari kubwa ya ziwani, umepakana na nchi tatu, una wkazi wapatao Milioni 2 na ushee. nk.
Yako mambo mengi sana ambayo unaweza kuorozesha hapa, ambayo yote ni Baraka kwa mkoa huu kuwa tajiriSwali ni KWANINI KAGERA SI TAJIRI?


KAGERA REGION – UNIQUE FEATURES
Kagera region is identified in the minds of most Tanzanians as banana and plantain country; the land of coffee and equally the land of plenty. It is also identified as one of the regions which were favoured by early contacts with European missionaries along with Kilimanjaro and Mbeya regions. Consequently, Kagera has had an early start ahead of most Mainland regions in terms of education. In 1967 it has an average adult literacy rate of 40% with only Dar es Salaam, Kilimanjaro and Ruvuma doing better. During the 1978 Census, Tanga, Morogoro, Mara and Iringa had caught up and surpassed Kagera whose ranking deteriorated from number 4 to number 8 which position it also held in 1988.

Geographically, Kagera had the record of being the remotest region from the administrative centre of Dar es Salaam along with Kigoma. It has maintained this unfortunate position even after the move of the country’s capital to Dodoma. 

The regional headquarters of Bukoba for Kagera is 616 kms from Dodoma as the crow flies. Kigoma, the regional capital for Kigoma is 683 kms away. But unlike Kigoma, Kagera’s isolation in further compounded by poor roads into the region and by being sandwiched between the neighbouring countries of Uganda, Rwanda, Burundi in the north, west and by the Lake Victoria waters on the east. The region’s only land route to the rest of the Mainland is to the south. No other region in the country is bordered by so many foreign countries. 

The region’s geographical isolation and the close proximity to the three foreign countries has made Kagera very vulnerable to foreign influences and problems. The influx of refugees from Rwanda and Burundi in the past two decades is a case in point. No other region has suffered from refugee damage as has Kagera. 

The damage by deforestation as some 600,000 refugees sought to make camp and to meet their demands for fuelwood has been colossal. Game reserves were heavily poached, morals polluted and drug resistant STDs were introduced. As if this was not enough, roads were damaged through overuse, health and water facilities were overloaded. Source. Tanzania.go.tz

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...