June 19, 2012

SARATANI YA UTUMBO MPANA NI HATARI

Habari wadau,
Mnaweza shangaa leo kuja na uzi huu wa Saratani ya Utumbo mpana, kifupi mi si tatbibu na wala sina fani yoyote ya namna hiyo, bali mambo haya yakikukuta ndo utayajua, sometime kuliko daktari mwenyewe, hasa ukiwa mtafiti wa kwanini nimepata tatizo hili ama lile, yalinikuta, haikufika kuwa saratani, labda kwa kuwa Mungu hakutaka ifike huko, lakini cha moto nimekiona, hivyo nimeona bora tuelimishane kupitia blog hii ili sote tuwe na tahadhari ya aina fulani hasa kuhusiana na magonjwa haya ya kujitakia, ndio ni ya kujitakia, yanaitwa Lifestyle Diseases ama magonjwa yasababishwayo na mitindo yetu ya maisha. 



"What you eat may play a role in your risk of colon cancer. Colon cancer may be associated with a high-fat, low-fiber diet and red meat. However, some studies have found that the risk does not drop if you switch to a high-fiber diet, so this link is not yet clear.












Smoking cigarettes and drinking alcohol are other risk factors for colorectal cancer."  kwa mujibu wa U.S National Library of Medicine

Ndio maana nikasema ni ya kujitakia, tafiti zaonesha "90% of chronic diseases come from infection of gastrointestinal"
na sababu kuu ni tatizo la kukosa choo, mi nilikuwa najiona sawa tu kama sijaenda haja siku moja au mbili, nikidhani ni kawaida, kumbe nilikuwa nalundika matatizo, mtu yeyote ambaye anapata mlo walau mlo mmoja kwa siku na kupitisha siku moja au zaidi bila kupata choo anatatizo la kukosa choo, sasa je weye unaye pata milo mitatu kwa siku bila kutoa uchafu huo je wadhani waenda wapi?  kitaalumu tatizo hili lajulikana kama Constipation. 



Wataalamu wanasema sababu ziko nyingi ikiwa ni pamoja na:-

  • Kukosa mlo kamili ama kula vyakula viingi vyenye kiwango kikubwa cha wanga na mafuta,
  • Kula vyakula vilivyokobolewa na vilivyo changanywa na madawa ili visiharibike,
  • mifumo hatarishi ya maisha (Dangeraous Lifestyles) kama vile matumizi ya pombe na sigara kwa wingi,
  • Ukosefu wa kiwango cha kutosha cha mbogamboga na matunda katika milo yetu,
  • Maji yasiyo salama,
  • Kuvuta hewa chafu,

Hizi ni baadhi tu, na hadhari zake zaweza kuwa:-

  • Chakula kutomeng'enywa vizuri (poor function of digestion system)
  • Maumivi makali wakati wa kupata choo,
  • Uchafu uliokaa muda mrefu kugeuka sumu,
  • Bakteria wenye madhara kuzaliwa na kuathiri utumbo mpana na viungo vingine mwilini.

Hii yaweza sababisha magonjwa sugu kama:

  • Saratani ya utumbo mpana (Colon Cancer)
  • Presha (Arteriosclerisis)
  • Kuongezeka uzito (Obesity)
  • Tumbo kujaa gesi
  • Magonjwa ya Ini
  • Figo kushindwa kufanya kazi vizuri,
  • Magonjwa ya ngozi,
  • Kukakamaa kwa mishipa ya damu,
  • Kisukari,
  • Magonjwa ya moyo n.k

Kama nilivyotangulia kusema kuwa mi sio tabibu, bali nilikuwa mgonjwa, sikuwa napata choo vyema, tumbo lilikuwa linajaa gesi, alafu naona nanenepa tumbo tu, nikienda uwani ni maumivu makali, nilienda hospitali nikapata dawa, lakini hazikusaidia sana, ndipo nilipopata habari ya hii Phyto Fiber, niliitafiti kwanza, nilipotumia toka siku ya kwanza niliona matokea chanya, ika Shake off tumbo langu, mpaka namaliza dozi ya wiki 2 tumbo langu na afya yangu imekuwa ok.

Pengine wapo wadau wanatatizo hilo ama wanamfaha aliye na hilo tatizo, ama nitwangie 0784475576 nitakuelekeza wapi kwa kupata suluhisho la tatizo hili.

Si lazima uwe na tatizo lolote bali ni vyema kuyafanyia usafi matumbo yetu (Intestinal tract cleansing), kwani tafiti zaonesha kuwa tumbo lisilo safi ni chanzo cha aslimia 90 ya magonjwa sugu duniani, na ugonjwa wa Saratani ya utumbo mpana unashika nafasi ya nne kwa vifo.

Ni twangie ukiwa na maoni yoyote 0784475576 au email:brwebangira@gmail.com


 



UFUMBUZI. 

COLON CANCER 2 - Saratani ya utumbo mpana 2

Habari Wadau,
Katika post ya kwanza juu ya hatari ya saratani ya utumbo mpana nilijaribu kuelezea uzoefu wangu na jinsi gani nilikuwa hatarini kuptata gonjwa hili sugu ambalo lingepelekea pengine kufanyiwa upasuaji, kukata utumbo na kuunga tena, hii ingekuwa ni kilema, yote hii sababu ya kitu inaitwa CONSITPATION au tatizo la kukosa choo.
Baada ya posti HII, Nimekuwa nikipata simu nyingi sana na emails kutoka Dar, mikoani na nyingine mpaka Marekani na Uarabuni wakitaka kujua wafanyeje, hii yaonesha ni wengi wanatatizo hili, na wengi hawakujua kama kukosa choo kwa muda mrefu kwaweza si kupelekea kupata saratania bali kifo pia. Kwa mujibu wa WHO wanasema asilimia 30 ya wakazi wa mjini wana tatizo la Constipation,  na linaweza sababisha kifo iwapo mtu anaweza kufikisha siku tano bila kwenda haja kubwa lakini mtu huyo anakula kama kawaida.  
Kilichonisaidia ni hii Shake off Phyto Fiber ya Edmark, ilinichukua masaa 8 tu kwenda haja na kutoa uchafu mwingi isivyo kawaida, ambao ulikuwa umerundikana tumboni, hii ni hatari, ni vyema tukafanya usafi wa matumbo yetu walau mara 2 kwa mwaka yaani kila baada ya miezi sita.
Tafiti za kisayansi zinasema kuwa mtu anaweza kupoteza maisha iwapo hatopata choo muda wa siku tano mpaka saba mfululizo.

BENEFITS OF SHAKE OFF PHYTO FIBER.
1. No Coprostasis, No Colon Cancer
Waste accumulated in the digestive canal give rises to harmful carcinogenic by-products such as nitrosamines, hydrogen sulfide, etc. The good bacteria in SHAKE OFF Phyto Fiber can help eliminate them and prevent coprostasis and colon cancer.  
2. No Overweight
With the modern tendency to consume excessive meat/fish and fatty foods while leading a sedentary life style, many people are experiencing coprostasis due to congested intestines without them knowing it. Once waste matter is lodged in the intestinal folds, it cannot be eliminated easily. Being overweight is partly caused by coprostasis. The accumulation of harmful by-products and fats leads to the imbalance of the intestinal microflora or bacteria. SHAKE OFF Phyto Fiber helps prevent the accumulation of harmful by-products and fat, thereby reducing the possibility of obesity.                                                                        
3. No Constipation
An overstressed person’s biological functions will suffer leading to a number of health problems, such as gastric problems, hormone imbalance and eventually connstipation. SHAKE OFF Phyto Fiber helps promote the growth of good bacteria. It produces lactic acid and acetic acid as well as carbonic acid gas which stimulate peristaltic movements of the intestines needed to expel wastes from the intestines thus reducing risks of coprostasis.
* The good bacteria of Shake Off Phyto Fiber can help eliminate and prevent coprostasis and colon cancer.
4. Better Complexion
Excess protein in our daily diet is broken down by harmful bacteria to form ammonia, hydrogen sulfide and other toxic by- products. These harmful substances can lead to the outbreak of pimples and acne. SHAKE OFF Phyto Fiber’s cleansing function works from the insides to the surface of the skin. This brings out the truth in the saying: “Beauty comes from within”.
5. Normalize Cholesterol Level
The good bacteria in SHAKE OFF Phyto Fiber help convert cholesterol in food to coprostanol, a form which cannot be readily absorbed by the body and then excreted. It helps to maintain a healthy cholesterol level by recycling excess cholesterol to hormones.
Effectiveness of Shake Off Phyto Fiber
        * Fast and effective way to eliminate congested matter, thus preventing coprostasis and colon cancer.
        * Consist of beneficial bacteria: Bifidus, Fecalis and Laclis
        * Each 20g sachet of SHAKE OFF Phyto Fiber contains 1 billion (1,000,000,000) Bifidus bacteria
        * Addition of dietary fiber, oat extract and vitamin C
        * Contains completely natural and nourishing ingredients
        * An effective slimming aid
 Shake Off Phyto Fiber is also efective against acute diarrhea, intestinal infections, hemorrhoids (piles), gastric problems, hypertension, and inflammation of the intestines.
NOTE: "90 PERCENT OF CHRONIC DISEASES COMES FROM UNHEALTHY COLON"
Pamoja na Shake off kuna hii nayo SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL, hii ni kiboko ya matatizo mengi sana ikiwamo, Vidonda vya tumbo, Kisukari, Saratani, Moyo, Shinikizo la damu, Pumu, Kikohozi, mafua ya mara kwa mara, mzia, vidonda, vipele na harara, majipu na malaria. 
Kazi kubwa ya SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL ya Edmark ni Kusawazisha kiwango cha Acid na Alkaline na kuweka mwili wako katika hali ya usawa unaotakiwa. 
"Our daily diet should consist of 20% acidic and 80% alkaline food to maintain a healthy body. A healthy body should have an alkaline PH level of about 7.3 to 7.4."

"Diets based on acidic food will cause high acid levels in our body. In the long run, this will cause various illnesses such as diabetes, high cholesterol and stroke. To ensure your daily alkaline needs, we recommend Splina Liquid Chlorophyll"  Prof Reg
Kijiko kimoja cha SPLINA ni sawa na kilo moja ya mboga za majani na matunda,

HEALTH BENEFITS of Splina Liquid Chlorophyll.
EXCELLENT SOURCE OF NUTRIENTS It is very high in RNA and DNA and has been found to protect against the effects of UV radiation.
INCREASES BLOOD COUNTS Assists red blood cell generation to ensure sufficient oxygen and nutrients for cell renewal. It helps to either cool or warm the body and adapt to environmental changes.
BOOSTS THE IMMUNE SYSTEM Accelerates tissue cell activity and normal re-growth of cells to help the body heal faster.
INCREASES OXYGEN SUPPLY IN THE BLOOD This helps maintain optimum blood flow all throughout the body, and regulates blood pressure to healthy levels.
REDUCES WRINKLES AND AGING The results are smoother skin, clearer complexion and youthful looks.
3 MAIN FUNCTIONS of Splina Liquid Chlorophyll.
BALANCING Balances acid-alkali levels, and enhances immunity.
CLEANSING Cleanses the digestive system, assists in purifying blood.
NOURISHING Splina is rich in vitamins A, C and E, Zinc, Folic Acid, Calcium, Magnesium and Iron.

“Splina” Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:
Zinc, Selenium, Vitamin E, Vitamin C, Vitamin A, Protein, Biotin, Folic Acid, Pantothenic Acid, Calcium, Chromium,
Phosphorous, Potassium, Magnesium, Iron.
  • Diets which consist of more ACIDIC FOODS will result in a rise of acidic level in our body in the long run, eventually causing various illnesses like:
Heart disease, High Blood Pressure, Stroke, Diabetes, Arthritis, Gout High cholesterol.
  • Benefits of “Splina Liquid Chlorophyll”:
Promotes cell rejuvenation and boosts the immune system.
It eliminates body odors and other skin sores.
A great help for digestive problems.
Purifies the liver by eliminating old toxins material.
Who Should take “Splina Liquid Chlorophyll”
» People who often perspire.
» People with liver problems.
» People with respiratory problems.
» People with rheumatism.
» Anaemic people.
» Those with pale complexion.
» People with weight problems.
» Very skinny people.
» Very Fat people.
» Smokers and alcoholic people.
» Those who dislike eating vegetables.
» Those who suffer from constipation.
» Those who experience menstrual pain.
» Those who often catch cold.
» Those who often have sore throats.
» People with body odor and bad breath.
» Busy and stressful people.
» Easily fatigue people.
» People who likes junk food and fast food.

Kwa maoni na ushauri nipigie +255784475576 au email: brwebangira@gmail.com


SASA ZAPATIKANA KATIKA BAADHI YA PHARMACY, HAPA DAR NA MIKOANI,
  1. Rhode Pharmacy iliyoko Kariakoo, Mtaa wa Kipata na Kongo.
  2. Meggido Pharmacy, Karikaoo nyuma ya klabu ya Simba na Mbeya,  
  3. We Care Pharmacy, iliyoko Tegeta Kibaoni, Kibo Complex 
  4.  
  5.  
  6.  
  7.  
  8. IKIWA WEWE UNA DUKA LAKO LA DAWA NA UNGEPENDA KUWA NAZO HIZI NIJULISHE. 

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli wengi wana shida kama hii na wanafikiri ni maumivu na na kuacha kufanya utafiti hasa shida ni nini...Pole na yalikupata kaka Bernad... Umefanya vizuri kutushirikisha katika hili naona wengi wataamka.

Anonymous said...

One thing I would really like to touch upon is that weight loss program fast can be performed by the proper diet and exercise.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...