Mwakilishi wa Emmanuel Televisheni na Kanisa la The Synagogue Church Of All Nations Bi. Martha Harvey akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete jumla ya shilingi milioni ishirini na tano 25,000,000/- kwaajili
ya wahanga wa ajali ya Meli ya MV Spice Islander iliyozama katika mkondo wa Nungwi huko Unguja na kusababisha
vifo vya watu wengi hivi karibuni. Mchango huo uliokabidhiwa leo ikulu jijini
Dar es Salaam umetolewa na Kiongozi wa Kanisa hilo Nabii Themitope Balogun
Joshua ambaye anaishi katika MAKao makuu ya Kanisa hilo jijini Lagos Nigeria.
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment