June 26, 2009

Tapeli huyu anastahili nishani!

Mama huyu aliyejitambulisha kwa majina kibao kama Judith, Rosemary, Mary nk. nadhani anastahili kupewa nishani ya ujasiri wa kitapeli kama ipo.
Mama huyu amekuwa akijitambulisha kama ni Afisa wa polisi wa cheo cha ASP, kikubwa zaidi ni ujasiri wake wa kwenda kujichanganya na polisi halisi na kuwatapeli mapesa kwa namna za udanganyifu tena Sentro Polisi, kafika mpaka kwa Kova mwenyewe kutaka kumtapeli lakini mzee mzima akastikuka.

2 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Kaka, heshima kwako. Ni muda sijakanyaga hapa barazani na nimeona mabadiliko. Naona hata taswira yako uko full na lens kali. Kwa sisi walevi wa taswira, hiyo inatamanisha saaana.
Kuhusu huyu Mama nadhani kabla hajapewa nishani, ni lazima wengine waachie ngazi. Yaani mpaka anafikia hatua ya kwenda kwa Kova unadhani ameshapitia na kupokea taarifa ngapi za siri kuhusu polisi?
Anyway. Blessings

SIMON KITURURU said...

DUH hii kali!

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...