May 27, 2009

WAWEKEZAJI WETU

Mwekezaji akipeleka mzigo kwa mteja wake. Wawekezaji wakisubiri wateja.

2 comments:

Faustine said...

Dhana ya mwekezaji kwetu sisi ni mtu yoyote mwenye rangi tofauti na sisi, haijalishi kama ana uwezo wa kuwekeza au la. Huyu sisi tutamkumbatia hata kama ni mwizi au mmachinga kama huyu pichani.
Mtanzania mwenye uwezo wa kuwekeza atapigwa vita.
Hii ndio hali halisi.
Mkuu endelea kutuhabarisha.
Mdau
Faustine

www.kilinyepesi.blogspot.com said...

WATANZANIA tunatakiwa kutoa ile fikra kwamba mwekezaji mzuri ni yule mwenye rangi nyeupe sisi pia uwezo wa kuwekeza upo tusilale

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...