May 19, 2009

Hichi KIJIJI CHA KILEO KI WAPI BONGO??

WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. 
HIKI ni kijiji kipo hapa bongo, Je kuna ajuaye wapi kilipo? ni cha nani au kinafanya nini?
Aka ni kamtihani kidogo yeyote atakayepata zawadi nono itatolewa. 
KAZI KWENU.

14 comments:

Jiang said...

Si utani hizi nymba, streets, na kila kitu kiko bomba, bongo yote sasa inatakiwa kuwa hivyo, hata unaweza ukasema unaishi nyumba namba ngapi, nikama mitaa ya enzi za Mwalimu, kabnla watu hawajaanza kuiharibu.I wish nikakae kwenye mojawapo.

chib said...

Ndugu yangu, wengine tumetoka Bongo mwaka jana tu, lakini hakika sehemu hiyo siitambui.
Iko chicha sana

andrew said...

hizi nyumba ni south beach resort,kigamboni

mdau
andrew

Subi Nukta said...

Afadhali mipango miji ifanyike walao watu waweze kujua anwani za kufika pale wanapoelekezwa.
Sifahamu hapo ni wapi, nasubiria mtu ajibu.

Anonymous said...

Aaah wapi hapa sio bongo mshikaji wacha kutupiga changa la macho kaka.

nani anaweza kutoa kitu ka hicha hapa bongo?/

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Hichi kijiji kiko Kigamboni ni mradi wanyumba zinajegwa na kampuni moja hapa dar inaitwa Mutual Developers halafu zinakopeshwa

Simon Kitururu said...

Pametulia hapa! Sio mitaa ya karibu na Kibaha akujengako Kikwete hapa?

Anonymous said...

hi

Anonymous said...

Hizi nyumba zimejengwa na mutual cooperation. Nyumba hizi zipo kule gezaulole kigamboni. Kwa wale msiofahamu nyumba hizi zipo upande wa kushoto kama unatokea kigamboni mita 200 kabla hujafika kijijin(gezaulole). Ni mradi wa nyumba nafuu kwa ajili ya makazi.Nimejaribu kufika hapa kupata taratibu lakini walinzi huwa wanakataza kuingia ndani na kusema nyumba zote zimeshanunuliwa na wanaoruhusiwa ni wenye nyumba tu. Kwa ufupi kigamboni itakuwa bomba sana miaka mitano ijayo mana ukivuka tu ferry kuna mradi mkubwa sana wa kutengeneza mji wa kisasa wenye majengo makubwa, barabara kubwa, rails na usafiri wa maji kwenda maeneo ya masaki, mbezi beach, mapaka maeneo ya white sand kule. Bada tu ya huu mji kutakuwa na mradi wa nssf wa nyumba za makazi. Ukimaliza mradi wa nssf ndo unaigia kwenye hizi nyumba. Na mradi wa nssf ni mkubwa kuliko huu wa kwenye hizi picha. Kigamboni patakuwa sehemu nzuri sana. Ni hayo tu. BON

Unknown said...

Asanteni wadau wote kwa michango yenu, ila bado sijapata maelezo ya kina juu ya mradi huu na ni nani hasa mmiliki? je ni serikali au mtu binafsi? na utaratibu wake umekaaje? zinapangushwa au zinauzwa? mnunuzi au mpangaji awezaje kupata moja ya hizo?

Bongo Pix.

Anonymous said...

Hiki kijiji kiko Bunju barabara ya kwenda Bagamoyo mkoa wa Pwani

Mzee wa Sumo said...

Wizi mtupu!! Atakopeshwa nani?

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...