May 18, 2009

Kondomu ATMs Hizoooo

Hatua nne za kupata kitendea kazi aka Kavwero Bonyeza radha uitakayo.
Ikishawaka taa tumbukiza koini or mia.
Kavwero katadondoka kwa chini hapo
Ni kamoja tu, kwa hiyo kama unaraundi kibao rudia steps hizo upate zaidi kulingana na mahitaji yenu.
Meneja wa Program ya HIV wa PSI Dr Alex Ngaiza akionesha namna ya kupata huduma hii pale Jolly Club wakti wa uzinduzi.

3 comments:

Anonymous said...

Duh Ebwanaeee ntapataje hako kamashine nikwaweke home??
nisaidie mdau.

Jiang said...

KIUKWELI MIMI NINA TATIZO NA WATANZANIA KUYAONEA AIBU HAYA MAMBO, MAAN MTU ANAOGOPA HATA KWENDA KUNUNUA HIYO KONDOM, WAKATI WATU WOTE WANAJUA WEWE NI MTU MZIMA NA MAMBO HAYO UNAFANYA.
TUKIWA WAWAZI TUTAEPUKA SANA HUU UGONJWA, MAANA TATIZO LA AIBU YA KUNUNUA KONDOM TUMESHAIMALIZA, SASA TATIZO NI KUITOA HUKO CHUMBANI, SIJUI TUTAFUTE MASHINE ITAKAYOITOA NA KUVALISHA MAANA MTU AKISIKIA KONDOM ANAONA YEYE NDIO ANAONEKANA ANAFANYA SANA, WAKATI MAANA YAKE ANAJALI AFYA YAKE!

SIMON KITURURU said...

Kwa bahati mbaya hata kondomu za mgao wa bure watu huwa wanazikwepa.Sijui sasa hizi itakuwaje maana kama na unayecheza naye umemnunua na soda inabidi umnunulie kuna atakayeona anajizidishia gharama kutumia haka kamashine kasije kakabania koini mumo kwa mumo. Kwanza hako kataa ambako itabidi kawake wakati tunasubiria kabla hajutumbbukiza mia kanatumia umeme huhu wa TANESCO wakati limtu ninakusubiri uje na zana au nini?

Tusipobadilika kimawazo sina matumaini na mradi huu:-(

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...