April 22, 2009

DENSI LA DECI MAELEZO

ilibidi mkutano ufanyike nje.
" Sasa nitafikishia wapi ujumbe wangu?"
"kweli bora tutoke"
"Hatunyamazi bora tutoke"
Afisa mwingine aingilia kati kumtuliza mmoja wa washiriki Mch Temba.
Mabishano kidogo,
Afisa Habari akimtaka kufuta kauli na kufuata press release yake.
a
Alianza vyema akiwa na mwenyekiti wa wastaafu wa EAC
Leo ilikuwa ni patashika pale MAELEZO baada ya anayejiita mwenyekiti wa kamati ya dharura ya washiriki DECI Isaac Kalenge kusema kuwa Pinda karopoka, alitakiwa na uongozi TIS kufuta kauli yake lakini hakuwa tayari ilibidi mkutano uishie hapo na kuamia nje ya ofisi za idarahiyo.

1 comment:

Anonymous said...

Kweli DECI imekuwa deshi.Si Deci peke yake kuna watu kama sio wanaojiita Wachungaji kuchukua pesa za waumini wao na kusema watazirudisha hata kwa faida kidogo ila hawazirudishi kwa kutumia umaarufu wao kama wanavyojiita wachungaji.Hapa Arusha hayo mambo yapo sana kuna vijana wengi sana wameibuka wanajifanya wanasaidia watu ila sasa si kusaidia watu bali wao ndio wanatumia majkwaa kulazimisha waumini wadogo kuwapa kila walichonacho wakijifanya kuchangia na kujaza matumbo yao wakati waumini watoto na familia zao wanakufa kwa njaa na kupata kwashakoo.ukiwauliza wanajifanya wameokoka na hawarudishi pesa za watu.ni wakati mzuri kufwatilia pia hayo makanisa ambayo wanawanyanyasa watu.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...