March 8, 2009

KUMBE KILA JAMBO LINA SABABU ZAKE??

United Nation staff hold their hands during a peaceful protest at their headquarters in Gigiri on 3rd March 2009. The employees were protesting the replacement of Anna Tibaijuka as the Director General of the United Nations office in Nairobi. Her demotion has strained relations between Kenya and Tanzania. Kuondolewa au kushushwa madaraka kwa Mama yetu Prof Tibaijuka kumbe ni mizengweya kamchezo kachafu ka majirani na watani zetu NYANG'AUS??? Yote hayo yako hapa WADAU MWASEMAJE??

2 comments:

Anonymous said...

Secretary General wa UN ana utashi wa kubadlisha viongozi kadri anavyoona inafaa. Hakuna haja ya kulalamika....maji yakishamwagika hayazoleki. Cha maana ni kuangalia mbele.

Anonymous said...

Cha ajabu nini? Lazima kuna upungufu wa kiutendaji upande mwake huyu mama. Kwa mfano aliajiri zaidi watu wa kabila lake yaani Wahaya ambao hata qualifications walikuwa hawana. hili ni tatizo sugu UN kwani hata Kofi Anan aliwaleta waghana wengi ndani ya system. Je, UN ingevumilia haya hadi lini??

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...