February 11, 2009

KWANINI KITANDANI?????????

Baada ya DCI na jeshi la polisi kwa ujumla kukiri kuwa vifaa walivyowekewa wabunge wa upinzani yaani Wilbrod Slaa na Dr Ali Tarib Ali kwamba ni vinasa sauti vya kisasa swali kuu sasa ni kwanini CHUMBANI TENA KITANDANI?

hawa waheshimiwa wanamaofisi bila shaka, wana simu, wana magari N.K lakini yeyote aliyelenga au kuchagua kuweka vinasa sauti chumbani tena kitandani alikuwa anataka nini?????

Sote twafahamu (hasa watu wazima) ni nini huwa kinaendelea chumbani na hasa baada ya kuzima taa, Je waalifu hawa ndo walichokuwa wakitafuta????????? au waliambiwa kuwa hawa WAHESHIMIWA huwa wana vikao vyumbani????????? sielewi, sijui, naomba kueleweshwa wadau.

5 comments:

Faustine said...

Kwa mwelekeo wa siasa zetu "mpya" zinazoangalia mambo binafsi zaidi, jambo hili si la kushangaza. watu wamesahau mambo yanayohusu wananchi na kujikita zaidi kwenye mambo yanayotokea kati kati ya shuka.
Yote haya ni sehemu ya harakati za kujiweka sawa na uchaguzi ujao na kujaribu kuwachafua mahasimu wao.
Faustine

Simon Kitururu said...

Kazi ipo na nawasiwasi tunakokwenda kutazidi kuwa pabaya.

Anonymous said...

This is to bad! Shame to those involved in

Anonymous said...

Hako ni kale kamchezo ka kumvizia mbaya wako alokushinda nguvu na kumshika naniii zake na kuzibinya ili akuachie, teh! teh! teh!!!

Anonymous said...

Nasikia harufu ya mchezo mchafu hapa, wanasiasa si wakuaminika saaana nadhani kuna mtu anatafuta umaarufu kama sikosei tusubiri tuone, maaana naona mambo yanajichanganya kidogo.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...