tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post9187521087563792911..comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Comments on Rwebangira Blog: "NO REFERENDUM"- CUFAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-51331962408571010482008-04-06T23:13:00.000+03:002008-04-06T23:13:00.000+03:00MAMBO VIJANA WENZANGU,KWA WAZEE SHIKAMOONI .kweli ...MAMBO VIJANA WENZANGU,KWA WAZEE SHIKAMOONI .kweli chama cha mapinduzi hakijakosea kwa kusema kwamba mabadiliko ya katiba ,yanaihitaji maoni ya wananchi.kutokana Tanzania tuna written constitution kuibidilisha itabidi referendum iwepo.kwa matazamo wangu jinsi cuf wanataka kubadilisha constitution kwa niaba yao binafsi ambavyo ni siyo sahihi.kwasababu constitution ina reflect wananchi na siyo ,watu wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu.pia CUF wanatakiwa kujua kwamba wananchi wanaitaji maendeleo kwahiyo kazi ya upizani ni kuikosoa serikali,kuliko kuwa na serikali ya mseto ambayo inaweza ikachangia kwa kiasi kikubwa uzembe katika uwajibikaji kwa viongozi.la mwisho napenda kumkosa katibu mkuu wa CUF kwa yeye kwenda kushitaki CCM nje itasaidia kabisa,bali anaonyesha udhaifu wake,kwa jinsi gani alivyokuwa anaupeo mdogo katika<BR/>kufanya maamuzi kama kiongozi."he is unfit to be a leader".kwasababu matatizo ya tanzania yatatatuliwa na watanzania wenyewe na siyo mtu kutoka nje.Na nukuu retired prime minister Tony blair "PROBLEMS OF AFRICA WILL BE SOLVED BY AFRICAN THEMSELVES".Safari hii hatokubali kwa ndugu zetu kutimiwa kufanya vurugu visiwani kwa niaba ya mtu ambaye anaitaka ulaji wake binafsi na bila ya kutaka ridhaa kutoka wananchi.<BR/>MUNGU ISAIDIE TANZANIA IKAE KWA UTULIVU NA AMANI.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-42738798355412826282008-04-06T23:12:00.000+03:002008-04-06T23:12:00.000+03:00MAMBO VIJANA WENZANGU,KWA WAZEE SHIKAMOONI .kweli ...MAMBO VIJANA WENZANGU,KWA WAZEE SHIKAMOONI .kweli chama cha mapinduzi hakijakosea kwa kusema kwamba mabadiliko ya katiba ,yanaihitaji maoni ya wananchi.kutokana Tanzania tuna written constitution kuibidilisha itabidi referendum iwepo.kwa matazamo wangu jinsi cuf wanataka kubadilisha constitution kwa niaba yao binafsi ambavyo ni siyo sahihi.kwasababu constitution ina reflect wananchi na siyo ,watu wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu.pia CUF wanatakiwa kujua kwamba wananchi wanaitaji maendeleo kwahiyo kazi ya upizani ni kuikosoa serikali,kuliko kuwa na serikali ya mseto ambayo inaweza ikachangia kwa kiasi kikubwa uzembe katika uwajibikaji kwa viongozi.la mwisho napenda kumkosa katibu mkuu wa CUF kwa yeye kwenda kushitaki CCM nje itasaidia kabisa,bali anaonyesha udhaifu wake,kwa jinsi gani alivyokuwa anaupeo mdogo katika<BR/>kufanya maamuzi kama kiongozi."he is unfit to be a leader".kwasababu matatizo ya tanzania yatatatuliwa na watanzania wenyewe na siyo mtu kutoka nje.Na nukuu retired prime minister Tony blair "PROBLEMS OF AFRICA WILL BE SOLVED BY AFRICAN THEMSELVES".Safari hii hatokubali kwa ndugu zetu kutimiwa kufanya vurugu visiwani kwa niaba ya mtu ambaye anaitaka ulaji wake binafsi na bila ya kutaka ridhaa kutoka wananchi.<BR/>MUNGU ISAIDIE TANZANIA IKAE KWA UTULIVU NA AMANI.Anonymousnoreply@blogger.com