Mwenge wa Olympic uliowasili jana umekimbizwa leo ktk mitaa ya JIJI Dar kutoka TAZARA stesheni hadi nje ya uwanja mpya wa taifa
Watu maarufu na wasio maarufu wapatao 80 walishiriki wakiwamo hao, Mirisho Sarakikya, Caroline Mbaga, Lady Jay Dee au Mrs Habash, watu wenye ulemavu Sharrif na Johnson nk,
No comments:
Post a Comment