Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na baadhi ya wabunge wanawake wakicheza muziki katika chakula cha jioni alichowaandalia wabunge hao kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma. Wapili kushoto ni Naibu Spika Anne Makinda ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Kusini, Kulia ni Mbunge wa Kuteuliwa Zakia Meghji na wa pili kulia ni mbunge wa viti maalum, Anna Abdallah na watatu kushoto ni mgeni kutoka Jamaica , Ingrid Loiten.
chini hilo ni twist la nguvu.
No comments:
Post a Comment