January 22, 2008
BODI RUUM..
Mambo ya kushangaa ni mengi sana bongo na hasa hapo PAITWAPO BOT uwezi amini kuwa pamoja na minara yote hii miwili na jengo la kati lakini bodi room ni kiduchu kiasi kupita mpaka msuguane migongo!!!
hivi hilo jengo lote ambalo naamini kuwa ni kubwa kuliko pengine jengo lolote bongo isipokuwa labda bunge ni la kazi gani hasa?
au hata wafagizi wana ofisi zilinganazo na flooor nzima?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
HIGH COMMISSION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone:012- 342 4371/93 Fax: 012 – 430 43 83 E-mail: t anzania@cis.co.za ...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
3 comments:
hao ndo mafisadi, we ulitarajia nini waweke li bodi lumu likubwa la nini?
watanong'onezaneje ili watuchape maele yetu wadanganyika?
chambilecho mchungaji....
mshikaji hilo jumba ni chui wa karatasi, changa la macho tu mavioo tu lakini ndani soo,
njia za watu kula hizo kama wanabisha waseme we jengo toka 98 lajengwa tu.
Hii ndo bongo jamani,
hivi huyu mama na ako ka ps kweli wanangoja nini?
hinamaan dili hili lilikuwa la balaa hili pekee, mi siamini au kuna ndumba hapo? mhh jamaa naye kichwa kweli ka kachapa mwenyewe zigo hilo si mchezo.
ila radio mbao zasema jamaa aweza letwa sandukuni eti, mshazisikia hizo?
Post a Comment