wale wapenzi wa kujichana na hasa makuku sasa watayapata ktk muonekano bora zaidi toka Interchick.
Mwenyekiti wa bodi wa Interchick Kalokola Bwesha na naibu waziri wa mifugo Dr Mlingwa wakipata vikorombwezo vya vyuku toka Interchick
wengi na hasa wakazi wa maeneo ya mbezi beach, kunduchi, tegeta na vitongoji kadhaa vya dar bado wakumbuka yale makuku ya wakti uleeeeeeeee sasa yamekuja tenaaaa.
No comments:
Post a Comment