tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post4546327058031269524..comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Comments on Rwebangira Blog: Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-53675060990152225232008-01-22T14:58:00.000+03:002008-01-22T14:58:00.000+03:00Hii ndo bongo jamani,hivi huyu mama na ako ka ps k...Hii ndo bongo jamani,
hivi huyu mama na ako ka ps kweli wanangoja nini?
hinamaan dili hili lilikuwa la balaa hili pekee, mi siamini au kuna ndumba hapo? mhh jamaa naye kichwa kweli ka kachapa mwenyewe zigo hilo si mchezo.
ila radio mbao zasema jamaa aweza letwa sandukuni eti, mshazisikia hizo?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-76688193042865512562008-01-22T14:47:00.000+03:002008-01-22T14:47:00.000+03:00mshikaji hilo jumba ni chui wa karatasi, changa la...mshikaji hilo jumba ni chui wa karatasi, changa la macho tu mavioo tu lakini ndani soo,
njia za watu kula hizo kama wanabisha waseme we jengo toka 98 lajengwa tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-38243480077011122072008-01-22T14:33:00.000+03:002008-01-22T14:33:00.000+03:00hao ndo mafisadi, we ulitarajia nini waweke li bod...hao ndo mafisadi, we ulitarajia nini waweke li bodi lumu likubwa la nini?
watanong'onezaneje ili watuchape maele yetu wadanganyika?
chambilecho mchungaji....Anonymousnoreply@blogger.com