June 12, 2007

Je labda wapiga picha hawakuwepo? la hasha! kama uonavyo wapiga picha walikuwepo tena wengi tu ila waliwekwa maeneo maalumu tofauti tofauti ambayo viongozi hawa wa mataifa makubwa duniani wanatumia ama kwenda au kutoka mkutanoni, pia maenoeo ambayo yalizingatia mazingira mazuri kwa maana ya mwanga na mandhali nzuri ya nyuma ya picha yote hii ni kazi ya Dada Julia. Picha nzuri si bahati hata kidogo bali ni mpangilio mzuri tu wa watu wanaojua nini maana na umuhimu wa picha hasa kwa viongozi wetu.
KWA NDUGU ZETU WA USALAMA NA PROTOCOL.
Simaanishi kuwa viongozi wetu wasilindwe au waachwe tuu ovyo ovyo, hapana sio lengo langu nia yangu, bali NADHANI si vibaya tukanakiri kwa wenzetu nini wanafanya ili nasi tuwe na namna ya kuwa na mpagilio mzuri wa namna ya kufanyakazi pamoja ili kuwawekea kumbukumbuku nzuri viongozi wetu si kwa matumizi na faida ya leo tu bali hata baada ya miaka mamillioni baadaye baada ya kizazi chetu kuwa kimetoweka ili watakaokuja wapate kumbukumbu nzuri ya nani waliowai kuongoza taifa hili. tusijesutwa na historia baadaye.
"KUMBUKA SOTE TWAJENGA NYUMBA MMOJA IVYO HAINA MAANA KUGOMBEA FITO"

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...