May 23, 2014

PREVENT DENGUE hemorrhagic fever. - ZUIA HOMA HATARI YA DENGUEDENGUE FEVER.

"People with weakened immune systems as well as those with a second or subsequent dengue infection are believed to be at greater risk for developing dengue hemorrhagic fever."
Dengue Fever

Dengue (pronounced DENgee) fever is a painful, debilitating mosquito-borne disease caused by any one of four closely related dengue viruses. These viruses are related to the viruses that cause West Nile infection and yellow fever.


"Dengue fever is ranked by the World Health Organization (WHO) as the most important mosquito-borne viral disease in the world - and the most rapidly spreading - with a 30-fold increase in global incidence over the past 50 years."
 
Over 2.5 billion people, more than 30% of the world’s population, in over 100 countries are at risk of infection; the most significant epidemics recently occurring in Southeast Asia, the Americas and the Western Pacific. Each year an estimated 390 million dengue infections occur with 500,000 of these developing into dengue haemorrhagic fever, a more severe form of the disease, which results in up to 25,000 deaths annually worldwide. Most of these are in tropical areas of the world, with the greatest risk occurring in:·         The Indian subcontinent
·         Southeast Asia
·         Southern China
·         Taiwan
·         The Pacific Islands
·         The Caribbean (except Cuba and the Cayman Islands)
·         Mexico
·         Africa
·         Central and South America (except Chile, Paraguay, and Argentina)

Dengue fever is transmitted by the bite of an Aedes mosquito infected with a dengue virus. The mosquito becomes infected when it bites a person with dengue virus in their blood. It can’t be spread directly from one person to another person.

Symptoms of Dengue Fever

Symptoms, which usually begin four to six days after infection and last for up to 10 days, may include

Ø  Sudden, high fever
Ø  Severe headaches
Ø  Pain behind the eyes
Ø  Severe joint and muscle pain
Ø  Nausea
Ø  Vomiting
Ø  Skin rash, which appears three to four days after the onset of fever
Ø  Mild bleeding (such a nose bleed, bleeding gums, or easy bruising)

Sometimes symptoms are mild and can be mistaken for those of the flu or another viral infection. Younger children and people who have never had the infection before tend to have milder cases than older children and adults. However, serious problems can develop. These include dengue hemorrhagic fever, a rare complication characterized by high fever, damage to lymph and blood vessels, bleeding from the nose and gums, enlargement of the liver, and failure of the circulatory system. The symptoms may progress to massive bleeding, shock, and death. This is called dengue shock syndrome (DSS).

People with weakened immune systems as well as those with a second or subsequent dengue infection are believed to be at greater risk for developing dengue hemorrhagic fever.

Diagnosing Dengue Fever
Doctors can diagnose dengue infection with a blood test to check for the virus or antibodies to it. If you become sick after traveling to a tropical area, let your doctor know. This will allow your doctor to evaluate the possibility that your symptoms were caused by a dengue infection.

Treatment for Dengue Fever
There is no specific medicine to treat dengue infection. If you think you may have dengue fever, you should use pain relievers with acetaminophen and avoid medicines with aspirin, which could worsen bleeding. You should also rest, drink plenty of fluids, and see your doctor. If you start to feel worse in the first 24 hours after your fever goes down, you should get to a hospital immediately to be checked for complications.
 WIZARA YA AFYA INASEMAJE??/
Homa ya Dengue

Homa ya dengue ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi ambacho kinaenezwa na mbu wa aina ya Aedes.

Dengue in ugonjwa uliosambaa duniani katika nchi za ukanda wa joto. Takribani asilimia 40 ya watu wote duniani wanaishi katika nchi zenye ugonjwa huu. Takwimu za Shirika la Afya Duniani zinathibitisha kuwa takribani matukio milioni 5 ya Dengue yanatolewa taarifa kila mwaka. Watu laki 5 hulazwa hospitali kwa kuathirika na Dengue kali. Homa ya Dengue imeshatokea katika nchi zipatazo 34 barani Afrika.

Hapa Afrika Dengue ni ugonjwa unaojulikana kwa kiwango kidogo sana. Licha ya kwamba milipuko ya kwanza imetokea tangu mwanzoni wa karne ya 19. Matukio ya Ugonjwa huu yameongezeka Afrika tangu miaka ya 1980, matukio mengi yakitokea nchi za ukanda wa Mashariki mwa Afrika ikiwa ni pamoja na Msumbiji, Somalia, Kenya, Komoro, Djibouti na Tanzania. Ikumbukwe kuwa jina “Dengue” linatokana na neno “Dinga” la kiswahili linalolomaanisha ugonjwa unaotakana na pepo yaani Kudinga pepo. Mabaharia wa Kispanish walipokuja kwenye pwani ya Afrika Mashariki walirudi kwao na kuuita “Dengue”.

Dalili za ugonjwa huu ni homa, kuumwa kichwa, maumivu ya viungo na uchovu Dalili hizi huanza kujitokeza kuanzia katisiku ya 3 na 14 tangu mtu alipoambukizwa kirusi cha homa ya dengue. Kwa wakati mwinginedalili za ugonjwa huu zinaweza kufanana sana na dalili za malaria, hivyo basi wananchi wanaombwa kuwa wakati wakipata homa kuhakikisha wanapima ili kugundua kama wana vimelea vya malaria ua la ili hatua stahiki zichukuliwe.

Kuna aina 3 tofauti za namna ugonjwa huu unavyoweza kujitokeza iwapo mtu aking`atwa na mbu mwenye virusi hivi;

i.Homa ya dengue (Dengue Febrile Illness): Aina hii huambatanana dalili kuu tatu za homa kali ya ghafla, kuumwa kichwa na maumivu ya viungo au uchovu.Aidha, kwa Tanzania mpaka sasa zaidi ya asilimia 90 ya wagonjwa wamejitokeza na dalili hizi.

ii.Dengue ya damu (Dengue Haemorrhagic Fever): Aina hii yahoma ya dengue huambatana na dalili za mgonjwa kutokwa na damu kwenye fizi au puani, vile vile kutokwa na damu chini ya ngozi.Iwapo mgonjwa huyu ataumia sehemu yoyote ni rahisi kwake kupoteza damu nyingi kupitia kwenye michubuko.

iii.Dengue ya kupoteza fahamu (Dengue Shock syndrome): Aina hii ya homa ya dengue huambatana na mgonjwa kupoteza damu nyingi ambayo hupelekea mgonjwakupoteza fahamu. Dalili hizi zimeonekana kwa mgonjwa 1 kati ya wagonjwa 400 waliokwisha kuthibitishwa kuwa na ugonjwa hapa nchini.


Kirusi cha homa ya Dengue kinaambukizwa kutoka mtu mmoja hadi mwingine kwa kuumwa na mbu wa Jamii ya Aedes, na hasa Aedes aegypti. Mbu huyu anaishi katika mazingira ya makazi ya binadamu. Huuma wakati ya mchana ndani ya nyumba au kwenye maeneo yenye vivuli, hususani majira ya asubuhi na jioni kabla jua halijazama.


Mbu huyu anazaliana katika maji yaliyotuama hasa kwenye vyombo vya nyumbani, makinga maji ya paa za nyumba, matairi ya gari, ndoo, vikopo, na kadhalika. Kwa bahati mbaya mbu huyu huweza kuzaliana katika vifaa vidogo vidogo ambavyo watu wengi huvidharau. Hivi ni pamoja na makopo ya kuotesha maua, vikombe, vifuu vya nazi, na kadhalika. Majani mapana yanayohifadhi maji ni mazingira mazuri kwa kuzaliana kwa mbu huyu, hivyo maeneo ya bustani siyo ajabu kuwa mahali pazuri kwa mbu hawa.


Ugonjwa huu hauambukizi kwa kumhudumia mgonjwa au kugusa majimaji yanayotoka kwa mgonjwa. Homa ya dengue inaweza kutibika kama mgonjwa atapelekwa hospitali mapema na kupatiwa matibabu ya haraka.Hakuna dawa maalumu ya ugonjwa wala chanjo bali mgonjwa anatibiwa kutokana nadalili zitakazoambatana na ugonjwa huu kama vile homa, kupungukiwa maji au damu. Endapo mgonjwa atachelewa kupatiwa matibabu, mgonjwa anaweza kupoteza maisha.Jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa homa ya dengue 
Wizara ya Afya inapendekeza njia mbalimbali za kujikinga na homa hii kama zilivyoainishwa hapa chini:
 • Kuangamiza mazalio ya mbu 
 • Fukia madimbwi ya maji yaliyotuamaau nyunyuzia viuatilifu vya kuua viluwiluwivya mbu kwenye madimbwi hayo 
 • Ondoa vitu vyote vinavyoweza kuweka mazalio ya mbu kama vile: vifuu vya nazi, makopo, magurudumu ya magari yaliyotupwa hovyo, nk. 
 • Fyeka vichaka vilivyo karibu na makazi ya watu 
 • Hakikisha maua yandayopandwa kwenye makopo au ndoo hayaruhusu maji kutuama 
 • Funika mashimo ya maji takakwa mfuniko imara 
 • Safisha gata za paa la nyumba ili kutoruhusu maji kutuama  
 • Kujikinga na kuumwa na mbu 
 • Tumia viuatilifu vya kufukuza mbu “mosquito repellants” 
 • Vaa nguo ndefu kujikinga na kuumwa na mbu 
 • Tumia vyandarua vilivyosindikwa viuatilifu (kwa wale wanaolala majira ya mchana na hasa kwa watoto)

 •  Weka nyavu kwenye madirisha na milango ya nyumba za kuishi 
Japokuwa njia hizi zinasaidia kwa kiasi fulani kujikinga na homa hii, njia bora zaidi ni kuhakikisha kuwa kinga yako inakuwa juu sikuzote, kwani mbu huyu anaweza kuwauma watu wengi lakini ni kwanini ni wewe tu ndio unapata maambukizi? jibu ni kuwa sababu kinga yako iko chini, wataalamu wa afya wanasema kuwa watu walio katika hatari kubwa ya kupata homa kali ya Dengue ni wale wenye kinga dhaifu, sasa si rahisi kujua kama wewe au familia yako mna kinga dhaifu au la, chukua taadhari sasa, wapo walioshauriwa kunywa majani ya mpapai, ili kupandisha kinga zao, japo changamoto ni jinsi ya kuandaa majani hayo, kwani waweza tengeneza sumu, njia rahisi na salama zaidi ni kutumia EDMARK's  SPLINA LIQUID  CHLOROPHYLLY.
WHY SPLINA?


HEALTH BENEFITS of SPLINA LIQUID CHROLOPHYLLY.
EXCELLENT SOURCE OF NUTRIENTS It is very high in RNA and DNA and has been found to protect against the effects of UV radiation.

INCREASES BLOOD COUNTS Assists red blood cell generation to ensure sufficient oxygen and nutrients for cell renewal. It helps to either cool or warm the body and adapt to environmental changes.

BOOSTS THE IMMUNE SYSTEM Accelerates tissue cell activity and normal re-growth of cells to help the body heal faster.

INCREASES OXYGEN SUPPLY IN THE BLOOD This helps maintain optimum blood flow all throughout the body, and regulates blood pressure to healthy levels.

REDUCES WRINKLES AND AGING The results are smoother skin, clearer complexion and youthful looks.

SPLINA LIQUID Inapatikana katika baadhi ya maduka ya dawa hapa Dar kama. 
- We Care Pharmacy - Kibo Complex, Tegeta Kibaoni
- Rhode Pharmacy - Kariakoo, Kona Mtaa wa Kipata na Kongo
- Megido Pharmacy - Nyuma ya Klabu ya Simba.

Tunatafuta wasambazaji nchi nzima, ikiwa una duka na ungependa kuwa na bidhaa za Edmark wasiliana nasi kwa email:brwebangira@gmail.com, Cell 0784475576.

NB: Bidhaa zote za Edmark zimethibitishwa na ISO 22000-2005, HALAL, GMP na TFDA.


No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...