October 27, 2012

Tujiepushe na vifo hivi vya kujitakia!

 
Noncommunicable diseases (NCDs), such as heart disease, stroke, cancer, chronic respiratory diseases and diabetes, are the leading cause of mortality in the world.

This invisible epidemic is an under-appreciated cause of poverty and hinders the economic development of many countries.

The burden is growing - the number of people, families and communities afflicted is increasing. Common, modifiable risk factors underlie the major NCDs. They include tobacco, harmful use of alcohol, unhealthy diet, insufficient physical activity, overweight/obesity, raised blood pressure, raised blood sugar and raised cholesterol.

The NCD threat can be overcome using existing knowledge. The solutions are highly cost-effective. Comprehensive and integrated action at country level, led by governments, is the means to achieve success. read more here
Takwimu za Shirika la Afya Duniani zinaonesha, vifo vitokanavyo na Kisukari (Diabetes) vinatarajiwa kuongezeka mara mbili ambapo mpaka sasa watu wapatao milioni 347 duniani wanaugua ugonjwa huu huku milioni 3.4 wakiwa wamepoteza maisha mwaka 2004 pekee.  ISOME HAPA
 
Saratani (CANCER) unashika chati duniani kwa vifo, ambapo mwaka 2008 pekee watu wapatao Milioni 7.6 sawa na asilimia 13 ya vifo vyote duniani vilitokana na ugonjwa huu. Na inakadiriwa kuwa vifo hivi vitaongezeka ambapo kufika mwaka 2030 watu milioni 13.1 watakuwa wamepoteza maisha kwa saratani. ISOME HAPAMagonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases) yanaongoza, ambapo watu milioni 17.3 sawa na asilimia 30 ya vifo vyote duniani yalitokana na CVDs, inakadikiriwa watu milioni 25 kupoteza maisha kufika mwaka 2030. ISOME HAPAPia Uzito kupita kiasi (Obesity) ni tatizo lingine, ambapo tangu mwaka 1980 watu wenye uzito kupita kiasi wameongezeka mara mbili duniani, ampapo zaidi ya watu Bilioni 1.4 walikuwa na tatizo hili duniani na zaidi ya yote ni kuwa watoto milioni 40 chini ya miaka mitano walikuwa na uzito kupitiliza. ISOME HAPA

Kibaya zaidi asilimia 70 – 80 ya magonjwa haya ambayo yanaweza kuepukika yanatokea katika nchi zenye kipato cha chini na kati duniani, Tanzania ikiwamo.
Je tumefikaje hapo? Je tufanye nini kuepukana na maafa haya yanayotunyemelea?
Jambo la kutia matumaini ni kuwa magonjwa haya ambayo mengi yanatokana Mitindo yetu ya maisha yanaweza kuepukika kwa kupata tu elimu sahihi, na zaidi kila mtu aweza kuwa sehemu ya ufumbuzi wa janga hili na kuokoa maisha ya ndugu na jamaa zetu ambao wanaweza kuteketea kwa magonjwa yanayozuilika, tuwasiliane ikiwa wataka kuwa kuwa sehemu ya utatuzi simu 0784475576, 0712927070, email:brwebangira@gmail.com. PAMOJA TUNAWEZA.

No comments:

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...