November 4, 2011

Watano wauawa MwanzaSiku moja baada ya jiji la Mwanza kulindima na kuanikizwa na milio ya mabomu ya kutoa machozi katika juhudi za polisi kutawanya maandamano haramu na vurugu zilizokuwa zikifanya mahakamani na kundi la waislamu, leo tena mida ya saa tatu na nne ilikuwa kimuhemuhe, maenoe ya barabara ya Nyerere karibu na Benki ya Stanbic pale majambazi yalipovamia duka la vifaa vya ujenzi. 

Safari hii si mabomu ya machozi, la hasha ni siraha za moto zilizogharimu damu ya ya kutosha imemwagika dukani hapo majambazi matano yameteketea, jambo la kushngaza ni kuwa duka hilo liko karibu kabisa na kituo cha polisi cha pamba, yaani limetenganishwa  na barabara na kituo hicho cha mafuta. 

Je jamaa walidhani polisi wamelala au hakuna polisi kituoni? au pengine waliamua kujitoa mhanga kama Wapalestina? au siku zao zilikuwa zimefika? sijui, ila haiingii akilini.    

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...