November 22, 2011

Tutarajie nini toka WHITE HOUSE Dodoma?????

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete wa pili kutoka kushoto akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Novemba 21, 2-011 ukumbi wa 'White House' wa makao makuu ya chama hicho tawala mjini Dodoma. kulia katika picha na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama na kutoka kushoto ni Rais Mstaafu William Benjamin Mkapa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Zanziba Aman Abeid Karume

Vikao vya juu vya Chama Cha Mapinduzi, CC na NEC vinaendelea mjini Dodoma china ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, ambapo wengi wanatarajia uenda maaumuzi magumu na hasa ya kujivua gamba ama kuvuliwa Gamba yatatolewa.Wakati akihahirisha NEC mwezi wa Aprili mwaka huu Rais Jakaya kikwete aliongea na vyombo vya habari na kunukuliwa akitoa kauli hii 

" Tumekubaliana hatua zetu mbili, ya kwanza kuwabana wa..wa.. waji..wawaamue kuwajibika, lakini wanapokataa tusicheleee kuwawajibisha" JK.


Haikuleza ni kina nani na wanapaswa kuwajibikaje, tusubiri tuone labda sasa tutawajua hao WANAOPASWA KUWAJIBIKA/KUWAJIBISHWA. 

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...