November 19, 2011

Breaking Newzzzzzzzzzzzzzzz AJARI MBAYA BASI LA TAQWA

Taarifa zilizotufikia ni kuwa kumetokea ajari mbaya eneo la Lusaunga, Biharamulo iliyohusisha Basi la Taqwa toka Dar es Salaam na Lori la mizigo, kulinga na shuhuda wa ajari hiyo mbaya anasema wameona miili ipatayo 30 ikiwa imezagaa eneo la tukio, yahofiwa kuwa wengi wamekufa katika ajari hiyo. 
Majeruhi kadhaa wamefikishwa hospitali ya Biharamulo kwa matibabu na wengi wameumia sana. Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadiri tutakapozipata, toka eneo la tukio na hospitalini.

1 comment:

Anonymous said...

Hii connotation huwa inanishangaza sana,how come some1 says breakin newzz...Ktk habari kama hii,kinda celebrating?Grr rr..Ingetosha kuwa breaking news au just in/ news alert.Wajifunze namna ya kuwasilisha habari za kuhuzunisha na zileza burudani.

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...