![]() |
Ma Bulkeria, Bibi pekee tuliyebakiw naye,, anawasalimu wadau woote wa Bongo Pix |
![]() |
Buseresere - Katoro, wenyeji wanapaita Buse, safari ya Kuelekea B'mulo inaendelea, hapa ni vi-hiace , Noah na Corola Station wagon aka Mchomoko ndo zinatamba |
![]() |
Picha ya ukumbusho, cheki jicho la uba hilo, mwenyewe utapenda. |
![]() |
Mshikaki RUKSA |
![]() |
Jamaa anavyokimbiza kibasi katika njia hizi utazani ni lami, vigari hivi vimezoea njia hizi kwenye lami havikimbii kabisa sijui kunani hapa |
No comments:
Post a Comment