October 27, 2011

Ukistaajabu ya Musa....


Hizi ni picha mbili halisi ambazo zimepitishwa photoshop kuhifadhi maadili, niliwai kupost hiyo ya chini hapa na kule facebook, nimekuwa nikipata maoni mbalimbali, lakini wengi wakitaka kujua kama hii ni picha halisi, hivyo nimeamua kuweka picha halisi ambayo sikutaka kuiweka kabla, huyu mdudu amewekwa hapo kuhifadhi maadili tu, lakini akiruka ni balaaa, 


Maswali kadhaa wachangiaji wamekuwa wakioji,
- je ni nani dada huyu? 
- Je kupanda jukwaani akiwa hivyo ni masharti ya mmiliki wa bendi au ni matakwa binafsi? 
- Je ni nchi gani na hii ni bendi gani? 
- Mamlaka husika zinasemaje juu ya hili? NK.


Kwa hakika mimi sina majibu, isipokuwa picha hii ilitoka kule Jamii Forum ambako nako kulikuwa na mjadala wake mkubwa, tena iliwekwa pasipo hako kanzi. 


Wapo wasomaji waliojaribu kubashiri ama kusema kuwa hii ni Uganda lakini wakapishana kuwa ni bendi gani. 


Mimi sijui, iwapo kuna mdau yeyote mwenye kuweza kutujuza zaidi juu ya binti huyu na maswali yoote hapo juu itakuwa vyema. Karibuni wadau. 

1 comment:

Anonymous said...

Huyo ni Tshala Mwana akiwa anatumbuiza Uganda.

Haya mambo ni kawaida kabisa kwa wanamuziki wanawake. Hebu fikiria idadi ya watazamaji kwa onesho lijalo itakuaje kama wanaume wakipigiana stori kuwa mama alikua mtupu

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...