September 15, 2011

Miss Universe 2011 Nelly Kamwelu arejea.


Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu amewasili mapema leo kutoka Sao Paulo,Brazil kulikofanyika fainali za Dunia za mashindano hayo. Nelly Kamwelu ameshika nafasi ya saba kwenye mashindano ya vazi la taifa.Vazi lililompa nafasi ya saba, "Nungunungu" limebuniwa na Diana Magessa wa Morogoro

Vazi la ubunifu la kitaifa limebuniwa na kutengezwa na mbunifu mahiri wa Morogoro Diana Magessa ambaye alitumia rasilimali ya kipekee ya bati na ngozi pamoja na nakshi ya shanga na bati za kimaasai. Mbunifu huyu alieleza kuwa vazi hili alilibuni kwa kuangalia mavazi ya wapiganaji wa kale na pia mnyama aina ya “Nungunungu” ambaye hutumia ngozi yake yenye miiba kujihami na maadui. Mrembo Nelly alifurahia vazi lake akisema “Unajua huko ni kama unakwenda vitani, na hii nguo inanipa moyo sana najisikia faraja kubwa kuvaa vazi hili”

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...