May 27, 2011

Mgao wa Umeme kuwa historia????

Ujumbe mzito wa kampuni ya General Electric toka Marekani ukiongozwa na Makamu wake wa Rais John Rice ukiongea na Waziri wa Nishati na madini William Ngeleja ofisini kwa waziri jana.

General Electric kampuni ya tatu kwa ukubwa duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes imeonesha nia kuwekeza nchini katika nyanja mbalimbali.

Muda ukifika tutajualishwa zaidi.

Mungu ibariki Tanzania.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...