Japokuwa ndivyo wamezoea kuiita hivyo lakini nathani pana tatizo na hilo jina, kwa wanamuonea nani aibu hasa? wanaopora Almasi zetu au nani? nathani pana tatizo, panapomajariwa mara nipatapo full mkanda basi utawekwa hadharani, tuombe uhai.
Ratiba ilikuwa tuende kwa watani zangu "mapanga shaaa" lakini kutokana na sababu za kiufundi zaidi imebidi tuje hapa, bila shaka tutapata ushirikiano wa kutosha kama wa ndugu zao Mwanza.
Lets hope for the best.
No comments:
Post a Comment