June 17, 2010

Itakuwaje Mgombea Binafsi akiruhusiwa Leo?

Najaribu kufikiri kwa sauti, itakuwa vipi iwapo Mahakama ya Rufaa leo hii itapitisha ama kuruhusu mgombea binafsi ataruhusiwa?
Mi sijui itakuwaje maana uchaguzi ndo huo mwezi wa Oktoba na vyama vimeanza mchakato wa kutafuta wagombea.
Mi nawaza tu.

1 comment:

Anonymous said...

MAHAKAMA HINA UBAVU WA KUKATAA AMRI YA SERIKALI YA KUZUIA MGOMBEA BINAFI KWANI WAO HULA KIAPO KWA RAISI NA PIA NI WAGOMBEA WATARAJIWA KUPITIA CCM; HIVYO MGOMBEA BINAFSI HATAKUWEPO.

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...