Wadau msijeona kimya nimeanza ka-shule hapa Jo' burg kwa mzee Madiba ka kutuandaa wapiga snap wa Africa na kombe la Dunia mwakani, Bongo pix anataka kuweka historia ya kuwa mmoja wapiga snap ktk Kombe hilo la dunia ambalo ni mara ya kwanza kufanyika barani humu.
Kuna wapigapicha toka Comoro, Cameruni, Africa Kusini, Bongo na nchi nyingine ntawatajia tukisha juana vyema hapo baadaye kwa sasa Bye.
1 comment:
Mzee wa bongo pix, hii shule south iko chini ya FiFa? na kutoka na washiriki ni kutoka private sector au Government? ni trainning ya picha tuu au hata vyombo vingine n´vya habari? maana Ffa waliandi kufanya kitu kama hicho kabla ya kombe 2010.
mdu Ughaibuni
Post a Comment