July 26, 2009

Saida Kaloli

Hivi yu Wapi Huyu Dada siku hizi?

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli Saida Kaloli kapotea kweli. Imekuwa kama coincidence ni jana tu nasi hapa nyumbani tumekuwa tumejiuliza yupo wapi huyo dada?

Mzee wa Changamoto said...

ishangai kwa yeye kupotea kwani alijipoteza mwenyewe katika harakati za kujitafuta. Saida anajua kuwa alikuwa nyota na aligusa wengi wakati akishiriki katika muziki wa asili na ndipo kilipokuwa kipaji chake, lakini akaamua "kufuata upepo" na kujiingiza kwenye mitindo mingine ya miziki ambayo haikuwa katika upeo wa utunzi na ubunifu wake. Ameishia kujichimbia kaburi kisanii na inasikitisha.
Nimesema mara nyingi kuwa kuna haja ya wasanii kuwa walivyo na si kutaka kuwa vile ambavyo watu wengine wanataka wao wawe.
She payed the price and i hope it's a learning experience.
Jumapili njema Mukuru

Anonymous said...

Watoto wa town wanasema KAFULIA au CHOKA MBAYA,

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...