June 17, 2009

Ushuru mashirika ya Dini -Serikali yakubali yaishe

Wiki moja tu baada ya serikali kutangaza kuanza kutoza ushuru kwa mashirika ya Dini wakti ikiwasilisha bajeti ya Mwaka 2009/10 Waziri Mkuu Mtoto wa Mkulima Mizengo Pinda ametangaza kufuta ushuru huo na kurejea kama mwanzo.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

safi sana kumbe mara nyingine Mungu anasikia maombi ya watu.

Anonymous said...

WALIGUSA PABAYA MAANA INGEKUWA KASHESHE, NAONA AMA WALIKUWA WANATINGISHA KIBERITI AU WAMESOMA ALAMA ZA NYAKATI NA KUONA MHH HILI SOOOOO.

BUT SOME TIME SERIKALI NAYO UWA YASIKIA ATI.
MDAU

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...