March 12, 2009

NEW BOT CONFERENCE HALL @ TWIN TOWERS IN PIX

Ukumbi huko nyuma ya Minara miwili ukiwa ni wa mviringo.
Eneoe kubwa la chai na ukaguzi pamoja na usajili kwa waalikwa.
Sehemu za waandishi hazikusahauliwa, ziko mbili moja ikiwa na PC tayari zimeunganishwa na mtandao na ya pili ambayo ni kubwa ikiwa na viunganishi kadhaa vya mtandao kwa watumia Laps au Kompyuta mpakato.
Kuna kumbi ndogo kama mbili au zaidi pia.
Ukumbi mkubwa ulio wa mduara waweza kuchukua watu wapatao mia tatu hivi wakikaa kwa raha mustarehe na sehemu ya juu kwaajili ya waandishi.
Ngazi kuelekea juu,
Sakafu kama kioo vile.
Watu mia tatu wakaa kwa raha zao. Kwa kifupi huu ndo ukumbi mpya wa BOT ambao kwa mara ya kwanza umetuka kwa mkutano wa IMF na Afrika ulioudhuriwa na mawaziri na magavana wa benki kuu toka nchi karibu zote za afrika, pia na wafanyabiashara wakubwa toka barani pamoja na wanaharakati na wafadhili mbalimbali toka sehemu mbali mbali za Dunia akiwapo mwakilishi wa wakfu wa Bill Gates, Mo Ibrahimu N.K.

4 comments:

Reggy's said...

Bora umeweka sehemu ya maoni tulikuwa tunakwama sanaaa. Picha nzuri, zinaweza kumsaidia Liyumba kuonekana fedha zilitumika kwa usahihi

Faustine said...

Hakika ni ukumbi mzuri.

Mdau
Faustine

Anonymous said...

kwa kweli ukumbi umesimama. hakika pesa imetoa quality halls. ila liyumba ataendelea kutuhumia kwa vile hakuwa amepata approval. otherwise kazi ni nzuri

Jiang said...

Yani IMF ndio tunawaingiza kwenye huo ukumbi, afu tunawaomba misaada hao hao,ha ha ha ha ha! Tanzania zaidi ya uijuavyo!

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...