Gari alilokuwa akiendesha Mzee wa "Vijisenti"
Hii ndo Bajaj.
Mzee wa "Vijisenti" Andrew Chenge (kulia) akiwasimulia Maofisa wa Polisi, Naibu DCI Peter Kivuyo (katikati) na Kamanda wa Trafiki Kanda maalum ya Dar es Salaam Mohamed Mpinga namna ambavyo ajali ilitokea baada ya gari alilokuwa akiliendesha kugongana na bajaji na kusababisha vifo vya wanawake wawili ambao wanadaiwa kuwa walikuwa wakitoka kujirusha klabu Maisha usiku wa kuamkia leo Oysterbay Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment