RAIS MTEULE BARAKA OBAMA ALIPOKUTANA NA MTANGUZI WAKE MBABE WA VITA GEORGE BUSH.
NI NINI BUSH ALIMWELEZA OBAMA? AU NI MIPANGO GANI OBAMA ALIPEWA KAMA RAIS MTARAJIWA KABLA YA KUMKABIZI MADARAKA RASMI TRH 20 JANUARY 2009?
HIVI INGEKUWA KWETU AFRICA INGEKUWAJE? AMBAKO RAIS ANAAPISHWA CHAPCHAP KABLA HATA MATOKEO HAYAJAMALIZWA KUTANGAZWA?
MFANO KENYA, ZIMBABWE NA KWINGINEKO.
No comments:
Post a Comment