September 6, 2008

LIJISAMAKI LAFA DAR

SAMAKI MKUBWA ANAYEDHANIWA KUWA NI NYANGUMI WENGINE WAKIMWITA DOLPHIN NA ANAYEDHANIWA KUWA NA UZITO USIOPUNGUA KILO 3,000 AMELETWA NA MAJI USIKU WA KUAMKIA JANA AKIWA AMEKUFA ENEO LA JANGWANI. WAKAZI WA ENEO HILO WAMEKUWA WAKIJITWALIA MAPANDE YA SAMAKI HUYO KWA AJILI YA KITOWEO BILA KUJALI KA AWEZA KUWA NA MADHALA GANI, WALIOWAHI ENEO HILO AU KUPATA HABARI HII WALIGOMBEA MNYAMA HUYO HADI WAKAMWACHA YAANI WAMESHINDWA KUMMALIZA IMEBIDI UONGOZI WA HOTELI JIRANI NA TUKIO YA GIRRAFE KUCHUKUA UAMUZI WA KUMZIKA PAPO HAPO KWA KUSHINDWA NAMNA YA KUMWONDOA HAPO.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...