July 24, 2008

JK AOMBWA KUINGUILIA KATI THI NA NSSF

"Jamani Rais Kikwete okoa maisha ya mwanangu" Mjane Martha Ndunye akitoa machozi kumwomba Rias Kikwete aingilie kati sakata la kuamishwa kwa wagonjwa wa THI na NSSF kwa kudaiwa pango linalofika bilioni 2, mwanangu Kelvin (20) aligunduliwa na matatizo ya moyo akiwa na miezi mitatu tu na nimeangaika naye hospitali nyingi sana bila mafanikio mpaka nilipofika hapa kwa Dr Masau ndipo alipopata nafuu, sasa leo hii mwataka kumfukuza huyu daktari hapa je mwataka twende wapi? au mwataka kuniulia mwanangu pekee? KESHO NDO SIKU YA MWISHO KWA DR MASAU NA WAGONJWA WAKE KUFULUMUSHWA KTK MAJENGO HAYO. kwa wale wenye kumbukumbu hapo ndipo ilipokuwa TAZARA CLUB Ambapo watu walikuwa wanajisha kila wikendi,
Posted by Picasa

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...