June 6, 2008

Siri ya fedha za EPA hadharani

  • Barclays Bank,
  • Standard Chartered,
  • Kenya Commercial Bank, walishituka
  • CRDB walipitisha Bil 35/- za Kagoda pekee
  • Ripoti ilishauri wajumbe wa bodi wachukuliwe hatua
RIPOTI ya siri ya ukaguzi wa pesa za EPA uliofanywa na Ernst & Young inaonyesha kwamba baadhi ya benki nchini zilibaini mapema kuwapo kwa ufisadi mkubwa ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), na kwamba benki ya Barclays iliamua kuzikataa fedha za mteja wake mmoja hata baada ya serikali kuhakikishia kwamba ni fedha halali, RAIA MWEMA limebaini.
zaidi bofya http://www.raiamwema.co.tz

No comments:

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...