May 5, 2008

TANZIA UK

Alikuwa Rais wa IFM, Katibu wa Watanzania UIngereza
Tanzania Association UK inasikitika kutangaza msiba wa Omar Lambi aliyefariki jana Jumamosi katika hospitali ya university College Hospital -Euston kutona na cancer ya kichwa "Nasopharyngeal Carlinoma" Marehemu Lambi alikuwa Katibu wa kamati ya muda ya Tanzania Association (TA) ilyoratibu rasimu ya katiba hadi kufanikisha uchaguzi Mkuu uliwachagua uongozi wa sasa. Pia huko Tanzania, marehemu Lambo alishawahi kuwa rais wa Chuo Cha usimamizi wa fedha "Instute of Finance Management" (IFM). Lakini kabla ya kumaliza hiyo kazi, marehemu aliandika barua ya kujiuzuru kutokana na hali yake ya afya ili kupata muda zaidi ya kujiuguza. Akiwa hapa Uingereza, Marehemu alikuwa na Master ya Strategic Management na mwezi wa tisa mwaka huu alikuwa yupo mbioni kuchukua PHD. Wakati wa uhai wake alikuwa ni kiongozi wa mfano na aliyejitolea muda wake kwa ajilio ya kufanikisha masuala mbalinmbali yenye faida kwa Watanzania wenzake na Taifa kwa ujumla. Jumuiya ya Watanzania imempoteza mwanachama ambae alikuwa na mchango mkubwa kwenye chama.Mungu amlaze mahali pema peponi.Ameen. Ili kufanikisha mazishi ya marehemu, tunaomba michango yenu ya hali na mali, kwa kuweka michango katika akaunti: Acc No 132589600sort Code 308412J
ina la mwenye Acc mr S.S SurusBank LLoyds TSB Au kwa mawasiliano zaidi wasiliana na: Almas Kassongo- 079830 73526

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...