ah akak bernard nimetokea kutazama hizi picha zako na kusemaa, waheshimiwea hawa wanafikiriaaa, sasa hali iemfikia hapa, dito kaondoka, wapinzani nao kila kukicha wanakuja na mapya, jk msimamo wake ni nini haswaa...? ndivyo wanavyofikiria vigogo hawaa.. nimekubali mtundiko wako huu wa pichaa mkubwaaa... salaam sanaa] Haki Ngowi
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576
3 comments:
ah akak bernard nimetokea kutazama hizi picha zako na kusemaa, waheshimiwea hawa wanafikiriaaa, sasa hali iemfikia hapa, dito kaondoka, wapinzani nao kila kukicha wanakuja na mapya, jk msimamo wake ni nini haswaa...? ndivyo wanavyofikiria vigogo hawaa.. nimekubali mtundiko wako huu wa pichaa mkubwaaa...
salaam sanaa]
Haki Ngowi
Daah Edo siku izi anasoma sms naye?
kweli U-PM ukikutoka ni balaa ila jamaaa ana faranga atakuwa anawaza pa kutimkia tu huyu ka balaahili.
ah hapo edo anazuga kusoma sms maana anaona aibu kwa jinsi alivyokuwa fisadi anapenda pesa kuliko benki mshikaji huyu.
Post a Comment