March 4, 2015

Man-Born With No Arms- Drives His Impala-Works For NASCAR ...


Wajifunza nini katika video hii?? Richie alikuwa na sababu milioni na zaidi za kushundwa kufanya chochote, za kuwa maskini, au za kuamua kuwa ombaomba na kutegemea misaada ya watu, lakini kijana huyu aliamua kuwa anayaweza yote, anaweza kujitegemea pamoja na hali yake. 



Mazingira yanakataa kwamba angeweza kufanikiwa, angeweza kuendesha gari, baiskeli au kufanya kazi ngumu ya uhandisi wa magari, lakini aliamua kutokuenenda na mazingira, ameamua kufanya kitu cha tofauti, amekuwa mtu wa tofauti. 

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...