Sehemu ya Jengo la Ushirika Mtaa wa Lumumba imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa kwa baadhi ya wajasiriamali ambao walikuwa na ofisi zao upande huu, bahati nje moto haukufika upande wa jengo kuu ambao ndio mkubwa ukiwa na maofisi mengi muhimu ikiwapo benki ya CRDB na BRELA.
yaamikika kuna sefu ina mafweza hapo jamaa wanapongangania kukata na grenda.
No comments:
Post a Comment