February 8, 2008

Mara ya KWANZA

  • Ni Mara ya kwanza ktk historia ya Tanzania wimbo wa Taifa kuimbwa kabla ya kikao cha Bunge kuanza.

  • Ni mara ya kwanza kwa ktk historia ya Tanzania toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa kwa wabunge kutupilia mbali tofauti zao za kiitikadi na kusimama kidete kutetea maslahi ya Taifa hili.

  • Ni mara ya kwanza kwa Mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu kujiuzulu nyadhifa zao bungeni kutokana na kuhusishwa na kashfa ya kubwa ya Richmond au Richmond Gate.

  • Ni mara ya kwanza kwa Raisi awamu ya nne kuvunja baraza zima la mawaziri lililodumu miaka miwili tu kutokana na kashfa ya Richmond gate.

  • Ni mara ya kwanza kwa Kamati teule ya Bunge kuchunguza na kutoa hadharani kashfa kubwa ya Richmond Gate, kuungwa mkono na wabunge wote na wananchi na mapendekezo yake kufanyiwa kazi.

  • Lakini ni Mara ya kwanza pia kwa Mtumishi wa MUNGU mchunga kondoo wa BWANA kuingia ktk jumba ili takatifu la bongo.

  • Zaidi Lowassa anakuwa ni Alpha PM ambaye ametumikia kwa kipindi kifupi sana na kuachia ngazi hadharani kwa kuhusishwa na kashfa la RICHMONDULI GATE.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...